Wednesday, 9 April 2008

KASSIMJAPE

Jina langu kwa ukamiliofu ni KASSIM KHAMIS JAPE,Raia wa Tanzania Zanzibar.Historia yangu kwa ufupi nikwamba, nimezaliwa mnamo mwaka 15/6/1982 kijiji cha Kengeja, wilaya ya Mkoani kisiwani Pemba.Nimeanza elimu ya msingi darasa la kwanza shule ya Kisiwandui 1990, hadi darasa la 7 na kuendelea shule ya sekondari iitwayo Haile Selassie Secondary School kumaliza mwaka 2002. Baada ya hapo nilifanikiwa kuchaguliwa kujiunga na shule ya secondari Lumumba kidatu cha 5-6 na kumaliza mnamo mwaka 2005.Baada ya hapo nilifanikiwa kujiunga na elimu ya juu hapa nchini na kufanikiwa kuchaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu Cha Wailamu Morogoro (MUM)katika Degree ya Mawasiliano ya Umma (Mass communication)mnamo mwaka 2006/07.Kwa sasa hivi naendelea na masomo kwa mwaka wa 2.

No comments: